Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Gazeti la Wall Street Journal limeripoti kuwa Rais wa Marekani Donald Trump amerejea kwenye mkondo wa diplomasia katika sera yake dhidi ya Iran, baada ya kutofanikiwa kufikia malengo yaliyokusudiwa kupitia kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi, huku ugumu wa kupata ushindi wa haraka dhidi ya Iran ukitajwa kuwa sababu kuu ya mabadiliko hayo ya msimamo.

Maoni yako